Zile siku za kwenda kununua mavazi ya harusi na ni lazima linunuliwe gauni zimekwisha, kwa sasa maharusi wengi wanavunja mipaka na kuamua kuvaa jumpsuit au pant suit katika harusi zao, well ni rahisi kwa ma-bibi harusi ku-switch codes kuliko kwa upande wa kiume kuvaa matching dress na wanawake zao.

Couple hii kutoka Korea ime trend sana katika mitandao ya kijamii kwa chaguo lao la mavazi wote wawili walichagua kuvaa matching off white suit, ambapo bwana harusi alivaa suit hii na white kicks huku bibi harusi alivaa suit yake na white pumps na short vail

Kwa hapa kwetu Tanzania tumekutana na hawa bride maids ambao wao pia waliamua kuvaa suit kama wasimamizi wa harusi ambapo suit hizi zilitoka kwa mbunifu Martin Kadinda

 

 

tuambie wewe unaionaje hii trend kwako ni sawa au si sawa?

Would you let your wife wear suit on your wedding day?