Wakati wengi wetu tukiwa tunapenda kuvaa bra moja na kuzifua kisha kuzivaa tena kwa sababu tu labda tunaipenda sana. Tunaambiwa kwamba hayo ni makosa ambayo yanapelekea elastic au mikanda ya brazia yako kulegea.

Ambacho tunashauriwa ni kuvaa bra mara moja kuifua na kuipumzisha kwa siku chache huku ukivaa nyingine ambayo nayo unatakiwa kufanya vivyo hivyo. In short inatakiwa uwe bra’s zaidi ya tatu ili kupata muda sahihi wa kuzivaa na kuzipumzisha.