SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Let’s Fix Linah Sanga’s Outfit
Afro Fix It

Let’s Fix Linah Sanga’s Outfit 

Leo tunafix hii outfit kutoka kwa mwanamuziki Linah Sanga, kutoka katika Instagram yake Linah Sanga amepost hii picha akiwa amevalia nice polka dot dress akiwa amemalizia na ombre wig, miwanai, sandals pamoja na accessories ndogo ndogo.

Kwa muonekano wa mavazi na picha, Linah alitaka kuwa casual kwamba haendi popote its just a pic for the gram. Well as msanii hata kama ukiwa casual muonekano wako ni vyema ukaonekana vizuri. Kwa Linah tunaona gauni ni zuri lakini kuna vitu vingi vinaendelea ambavyo vimedidimiza uzuri wa gauni as we said accessories zinaweza ku-upgrade au ku-downgrade muonekano wako.

Let’s fix the look

 • Ondoa Miwani
 • Ondoa sandals
 • Ondoa Wig
 • Toa Mkanda
 • Toa Bracelet Ya Orange

Nini Tungemvalisha

 • As yupo casual tungetoa sandals alizovaa na kumpa mules nyeupe au raba nyeupe hii ni kufanya outfit iwe na color coordination.
 • Kwa upande wa kichwani tungempa a simple hair style au angevaa fedora hat
Fedora Hat
 • Tungetoa kabisa vilivyobakia na kumpa a cute little bag.
Cute Little Handbag

A stylish way to kill a casual but not so casual picture for the gram.

well afromates tuambie kama wewe ungetakiwa kumvalisha Linah ilo gauni ungemuongezea nini na kumpugunzia nini?

Related posts

5 Comments

 1. Solarmodul bestellen

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/lets-fix-linah-sangas-outfit/ […]

 2. 테더거래

  … [Trackback]

  […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/lets-fix-linah-sangas-outfit/ […]

 3. hk usa

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/lets-fix-linah-sangas-outfit/ […]

 4. chocolate bar called moon

  … [Trackback]

  […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/lets-fix-linah-sangas-outfit/ […]

 5. Buy pistols online

  … [Trackback]

  […] Here you will find 759 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/lets-fix-linah-sangas-outfit/ […]

Comments are closed.