SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Let’s Talk About Rayvanny’s New Look
Mitindo

Let’s Talk About Rayvanny’s New Look 

Wanasema style is a way of saying who you are without having to speak, if that is so we are wondering what Rayvanny is trying to tell us. Kama bado hujaelewa nini tunaongelea ni kwamba kwa sasa msanii kutoka katika kundi la WCB, Rayvanny ana style mpya ya mavazi pamoja na hair style ambavyo kwetu sisi tunaona kama maji na mafuta (haviingiliani).

Rayvanny amebadilisha nywele zake na kuziweka rangi ya platinum blonde toka siku ya kwanza ameweka hii style sisi kama afroswagga tulisema ile haikuwa style yake na alipata backlash kubwa sana katika mitandao ya kijamii but we all know WCB ni sikio la kufa linapokuja katika swala zima la wao kubadilika na mionekano yao,Rayvanny bado ameweka nywele zake rangi hio na basi sasa kwa sasa ana signature look ambayo anavaa outfit ambazo ana match na open cap which we can’t find another word to say it than trash.

The matching outfit and hat inaonyesha uvivu wa kujaribu something new, kwanini uvae kama duka la ready made kwamba sababu umezinunua zikiwa hivyo basi zivaliwe hivyo, hizi kofia zinatupa feeling ya kwamba ana jaribu kuficha mistakes zake alizofanya kwenye nywele which he can just change them for a more clean look na kuachana na kitu ambacho kina ku-force uvae kitu fulani hata kama hutaki kukivaa.

Nywele ni kama kiatu au makeup they can drag your outfit to hell au kukupa muonekano mzuri,na hapa kwa Rayvanny we can clearly see hizi nywele zinampeleka peleka na anapotea kwa kutokujua azifanye nini, anaweza kuvaa a good outfit lakini hizi nywele zika drag the out fit to the left to the left,  tunadhani its about time akubaliane na blonde haiko kwenye favor yake na abadilishe, and also this machinga looks are not it chief.

Afromates tuambieni nyinyi mnaouongeleaje muonekano huu mpya wa Rayvanny?

Instagram – @afroswagga

Facebook – @AfroSwagga

Twitter – @afroswaggatz 

Related posts

3 Comments

  1. High 90s price for Flowers

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/lets-talk-about-rayvannys-new-look/ […]

  2. test automation tools

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/lets-talk-about-rayvannys-new-look/ […]

  3. Malabar Mushroom Strain

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/lets-talk-about-rayvannys-new-look/ […]

Comments are closed.