Wanamuziki lil Nas X na Machine Gun Kelly usiku wa kuamkia leo wamehudhuria katika Tuzo za iheart Radio Awards wakiwa kipekee, ambapo wote wawili walionekana ku-make statement za kitofauti na mionekano yao.
Hit maker wa old town road yeye alihudhuria akiwa amevalia over sized silver suit, lakini kilichovutia wengi ni yeye kupaka eye shadow nyeupe aliyo match na rangi ya kucha, handbag na viatu.
Wakati Machine Gun Kelly yeye alikuwa kwenye silver short suit, kilicho vutia wengi kwake ni hizi kucha alizobandika, tumezoea kuona wanawake wakiwa wamepaka rangi kucha lakini huwa ni kucha zao binafsi na fupi, Machine Gun Kelly yeye kawa kitofauti kwa kubandika long nails.
well afromates tupe maoni yako kuhusu mionekano hii miwili.
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/lil-nas-x-machine-gun-kelly-at-the-iheart-radio-awards/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/lil-nas-x-machine-gun-kelly-at-the-iheart-radio-awards/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/lil-nas-x-machine-gun-kelly-at-the-iheart-radio-awards/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/lil-nas-x-machine-gun-kelly-at-the-iheart-radio-awards/ […]