Mwanamuziki Linah Sanga ni mjamzito well tulisha muandikia jinsi anavyo slay her pregnancy unaweza kusoma hapa, Linah ame amua ku release maternity photo shoot yake na kidogo cha kwa Linah tunaweza kusema ame make effort baada ya kufanya kazi na mbunifu Kiki Zimba, Kawa styled na Macrida Joseph na accessories by Manyatta tunaweza kusema Linah ameamua kufanya vitu in a professional way.

pink dress Linah ana jaribu kutupa jinsia ya mtoto? may be a baby girl is coming

Afican print swim wear, tumependa idea ya kitenge kilicho tandikwa chini perfect match na nguo zake

@clemence_photography Assisted by @stevenphotography

Skin Retouching by @adelinaretoucher

Stylist by @macridajoseph

Studio @ogsstudios .

Dress by @kikisfashion.

accessories by @manyatta_101