Kama ulikuwa hujui basi now you know, mwanamuziki kutoka T.H.T Linah Sanga ni mjamzito and she is slaying her pregnancy mpaka watu wana mtabiria ata jifungua mtoto wa kike (kuna hii dhana ya kwamba mama mjazito akiwa ana jipenda kipindi cha ujauzito wake ana jifungua wa kike) Hii dhana ni kweli au? ntajaribu kumuangalia Kim K wakati ana mimba ya North na Saint, Ila Kim ali slay zote. Well Back to Mom to be Linah hizi ndizo zilizo tuvutia kutoka kwake
Dira? for who dira for what ni mwendo wa viji t-dhirt dress ambavyo vina mpendeza sana, we love the pregnant Linah
Black little dress inayo achia wazi ni kama ana sema ni tumbo langu sio fake, brown heels to finish up the look
White jumpsuit, brown boots miwani na kiduku
white t shirt dress, simple raba na miwani… Linah uwe hivi kila siku hata baada ya kujifungua una that star look now
Bandage Greenery off shoulder dress, laceup heels and we are feeling it
Una maoni yoyote?
Instagram – afroswagga
Facebook – afroswaggamag
Twitter – afroswaggatz
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/linah-sanga-maternity-style/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/linah-sanga-maternity-style/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 7914 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/linah-sanga-maternity-style/ […]