SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Looks From Lamatah Leah Baby Shower Party
Mitindo

Looks From Lamatah Leah Baby Shower Party 

katika tasnia ya filamu kwasasa huwezi kuiongelea bila ya kutaja jina la Lamatah anafanya kazi nzuri katika ku-produce pamoja na ku-direct film, akiwa ana series kadhaa wa kadhaa kwenye vituo mbalimbali vya television Lamatah pia ameshinda Tuzo katika Tasnia hio.

Week iliyopita Lamataha alifanya gender reveal akiwaarika watu maarufu mbalimbali katika tasnia ya filamu, theme ya tukio hilo ilikuwa nyeupe na tunakuleta looks hizo tukianza na muhusika

Lamatah mwenyewe alikuwa na looks mbili ambapo ya kwanza ilikuwa peach tulle dress na ya pili ilikuwa nude dress yenye shimmery tassel, alipendeza kwenye looks zote mbili, makeup ilikuwa on point, nywele zilitengenezwa vyema na tumependa alichaguwa kuwa comfortable kwa kuvaa flat shoes.

lakini pia wageni waalikwa walikuwa kwenye theme kama ambavyo tumesema theme ilikuwa white na wengi wao walivalia nyeupe, tulipenda kwamba walimuachia muhusika a-shine wengi wao walikuwa simple yet stylish

Zamaradi Mketema, Lulu Diva & Mimi Mars

Jacqueline Wolper, Kajala & Jennifer Nkya

Godliver, Zay & Lissah Actress

Mwanaheri Dora & Love

tuambie look ya nani imekuvutia kati ya hizi zote?

Related posts