SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Looks From Met Gala 2021
Mitindo

Looks From Met Gala 2021 

Wenyewe huwa wanaiita “fashion’s biggest night out,” the Met Gala 2021 ni fundraising benefit for the Metropolitan Museum of Art in New York City. Mwaka huu wa 2021 Theme ya event hii ilikuwa “In America: A Lexicon of Fashion, theme hii  honors anything and everything American fashion.

Watu maarufu mbalimbali wameonekana kuhudhuria event hii na hivi ndivyo walivyovalia

Rihanna & ASAP Rocky, Ayesha & Steph Curry, Shawn Mendes & Camila Cabello

Ciara, Kim Kardashian & Jlo

Megan, Jennifer Hudson & Paloma

Megan Thee Stallion, Saweetie, Gab Union

Kendall, Normani, Keke

Well hizi ni few tu kati ya nyingi zilizonekana usiku huu wa met gala tuambie nani amekuvutia na nani kwako ni hapana?

Related posts