Tuzo za MTV VMAs zimefanyika usiku wa kuamkia leo, na watu maarufu wengi kutoka katika industry ya muziki walihudhuria, ikiwa usiku ulikuwa wa kuwania Tuzo wengi walifika wakiwa wamependeza wakiwa wame step out in ensembles full of color, sparkle, and more embellishment.
Na hivi ndivyo walivyotokelezea katika Tuzo hizo
Cardi B In Dilara Findikoglu and Jimmy Choo shoes, Nicki Minaj In Dolce & Gabbana & Taylor Swift In Versace, Jimmy Choo shoes, Anita Ko jewelry, and Maria Tash earrings.

Doja Cat In Monse, Maria Tash & Nicole Rose jewelry.Megan Thee Stallion Brandon Blackwood, Stuart Weitzman shoes, and Jacob And Co. jewelry & Tiffany Hadish In In Jason Wu.

Saweetie In Area couture, Selena Gomez In Oscar de la Renta and Jimmy Choo shoes & Ashanti

Coco Jones, GloRilla & Rita Ora

Shakira,Chlöe Bailey & Nelly Furtado

Fat Joe, Chase Stokes & Bill Porter

Frent Montana, Rema & Off Set

Tuambie look ya nani umeipenda zaidi?
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…