SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

6 Best Looks We Spotted Last Week
Mitindo

6 Best Looks We Spotted Last Week 

The girls been serving looks, from casual to occasional wear, week iliyopita tumewaona watu maarufu mbalimbali wakiwa kwenye mionekano mbalimbali kutokana na sehemu walizokuwa wanaenda, as usual wengi wao walikuwa wamependeza kuanzia nywele, makeup, accessories, mavazi mpaka viatu wazungu husema head to toe.

Baadhi ya ambao tuliona looks zao na wakatuvutia ni Julitha Kabete ambae alikuwa amevalia pink dress, bronde hair amemaliza muonekano wake na fringe bag, simple sandals na miwani, mwingine ambae tumemuona ni Jacqueline Ntuyabaliwe in a white and pink look, Jacq alikuwa in a more of bossup look, Miss Tanzania 2022/2023 Halima Kopwe sitting pretty akiwa amevalia floral dress na black open heels, makeup & hair well done.

Wengine ambao tumewaona hawa wao walikua na mavazi ya mitoko zaidi nao ni Angie akiwa in a pink sequin dress, pixie cut hair style, amemaliza muonekano wake na embellished heels, Flaviana Matata looked angelic akiwa amevalia cutout mermaid green dress akiwa na low cut yake na simple makeup, ambae anatufungia leo ni Elizabeth Michael akiwa amevalia white & nude corset pearl dress ambayo inaurembo kifuani amemalizia muonekano wake na Bun with Side-Swept Tendrils hair style na heels alizo match na vazi lake.

Tuambie muonekano wa nani umekuvutia zaidi kati ya hawa sita?

Related posts