Lucky Creations sio jina geni kwetu wapenda mitindo lakini kama humjui Lucky alisha wahi kuwa mwanamitindo lakini akabadilika kwa mbunifu,
Lucky amezindua collection yake mpya hivi karibuni aliyo ipa jina “KIDAWA” hili jina lilituvutia na kutufanya tujiulize kwanini “KIDAWA” Tumetafuta Lucky na haya ni majibu yake kwetu
Afroswagga – Tumeona Collection Yako Mpya Iitwayo KIDAWA uliyo show case Kenya Kwanini Ukaaita KIDAWA?
Lucky – KIDAWA NI JINA LA MSICHANA ..NA NCHINI KWETU TANZANIA NI JINA LINALO MWELEZEA MSICHANA ASILIA KABISA…WAKATI NAANDAA COLLECTION…NIKAMSHIRIKISHA MBUNIFU MWENZANGU (Martin kadinda)BAADA YA KUMUELEZEA MANTIKI YA HIYO COLLECTION MPYA..NDIPO ALIPOIBUKA NA JINA LA KIDAWA!!!!!!!KUTOKANA NA KWAMBA NI COLLECTION AMBAYO INAMUHUSU BINTI WA MAISHA YA KAWAIDA…….MWENYE UWEZO WA KAWAIDA LAKINI ANATAKA KWENDA NA WAKATI
Afroswagga – Nini Kilikuinspire Wakati Unabuni Hii Collection?
Lucky -WAKATI NAANDAA HII COLLECTION NILIANGALIA HALI YA UCHUMI NA MAISHA YA BINTI WA HALI YA KAWAIDA YA KIPESA…PILI NI MATERIAL GANI AMBAZO NINGEWEZA KUTUMIA …NILITAMANI KUTUMIA VITENGE VYA ZAMANI KABISA..HAIKUWA RAHISI KUPATA…IKABIDI NITAFUTE RANGI CHAKAVU NIKIMAANISHA..RANGI ZILIZOPOA……HII NI COLLECTION AMBAYO ….KUNA BAADHI YA WANAWAKE WANATAMANI KWENDA NA WAKATI..ILA MTU ANAKUWA ANAHOFIA BUDGET YAKE NA MENGINEYO..KIDAWA NI COLLECTION AMBAYO IMEANDALIWA KWA GHALAMA YA CHINI KABISA…NA IMEWEZA KUVALIWA KWENYE JUKWAA LA TAIFA JINGINE…………NA KUKUBALIKA PIA…KWA KUMAANISHA KUWA HAIJALISHI NI WAPI UMETOKA ILA PERSONALITY YAKO YAWEZA KUKUBEBA POPOTE UENDAPO..CHA MSINGI NI KUJIAMINI NA KUJIKUBALI………..
Afroswagga – Mwanamke wa aina gani anaweza kuvaa KIDAWA collection?
Lucky – MWANAMKE YEYOTE WA HALI YEYOTE..ANAUWEZO WA KUVAA KIDAWA,NI NGUO AMBAZO ZIKO SIMPLE SANA NA ZA KAWAIDA..ILA KUJIAMINI NA KUJIKUBALI KUTAMFANYA ANGHALEEE ZAIDI!
Afroswagga – Tutegemee Collaboration Na Mbunifu mwingine kutoka Africa?
Lucky – NATAMANI KUFANYA KAZI NA WABUNIFU WENGI TU…ILA NDOTO YANGU KUBWA NI KUPATA FURSA YA KUONESHA KAZI ZANGU!KWENYE MAJUKWAA MAKUBWA ZAIDI AFRICA NA KIMATAIFA ZAIDI…
Afroswagga – Baada Ya KIDAWA nini kinafuata?
Lucky – KWA SASA NACHUKUA MAFUNZO YA TASNIA YA UBUNIFU(online)NIA NA MADHUMUNI NI KUWEZA KUJIKUZA KWWNYE HII TASNIA…SO BAADA YA KIDAWA NI VITU VINGI VINAFUATA..WATU WENGI HUWA HUNIAMBIA MBONA HAUKO SERIOUS MBONA HUVALISHI WATU WENGI AMA MASTAR/JIBU LANGU NI KUWA UBUNIFU NI SANAA KAMA SANAA NYINGINE…NA KILA MSANII ANA JINSI NA NJIA YAKE YA KUWAKILISHA SANAA YAKE….NATAKA KUWA MBUNIFU NTAKAE DUMU…NA SIO WA KUPITA ….
Afroswagga – Chochote ungependa kukiongelea kuhusu hii Collection Kama Wapi Watu Wanaweza Kukununua Nk.
Lucky -CHA KUWAOMBA WATANZANIA NI KWAMBA IFIKE MAHALI TUNUNUE SANAAA NA SIO JINA LA MSANII.KWA KUFANYA HIVYO TUTAKUWA TUNANYANYUA VIPAJI NA KUWAWEZESHA WABUNIFU KUSONGA MBELE!!!Asante
Kama umependa interview, umependa anacho fanya Lucky au unataka kujua zaidi kuhusu Lucky unaweza mfuata Instagram @luckycreations_onpoint, thanks us later, ana vitu vizuri sana.
Related posts
10 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/lucky-creations-atuelezea-kwanini-kidawa/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/lucky-creations-atuelezea-kwanini-kidawa/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/lucky-creations-atuelezea-kwanini-kidawa/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/lucky-creations-atuelezea-kwanini-kidawa/ […]
peaceful piano music
peaceful piano music
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/lucky-creations-atuelezea-kwanini-kidawa/ […]
coffee shop
coffee shop
trap workout motivation
trap workout motivation
relax music
relax music
jazz
jazz