SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Lulu Diva In Jadore Couture Dress For Birthday Photoshoot
Mitindo

Lulu Diva In Jadore Couture Dress For Birthday Photoshoot 

Mwanamuziki Lulu Diva amesheherekea siku yake ya kuzaliwa week hii, ambapo hakukuwa na shamsham zozote kutokana na janga la msiba tulilonalo, lakini watu maarufu waliweza kumtakia kheri katika siku yake hii ya kuzaliwa ambapo walitumia picha hizi alizopiga kwaajili ya siku yake ya kuzaliwa.

Lulu alivaa eastern blue puffy sleeves dress kutoka kwa mbunifu Jadore Couture

well #afromates let us know your thoughts on this look

Photoshoot by @benardatilio
Dressed by @j_adorecouturetz
Makeup. @glambyanastasia
Hair by. @rehemasamohairmakeup

Related posts