Mwanamuziki Linah Sanga, Lulu Diva na mwanamitindo Hamisa Mobetto wameonekana kuwa na jicho katika nguo moja tena basi hadi rangi sare sare ni two pieces outfit na mnajua inahitaji tuulize nani kapendeza zaidi?

Hamisa alivaa hii two piece outfit na embellished white sneakers

Linah yeye alichagua kuzivaa hizi nguo na brown heels

Wakati Lulu Diva yeye aliamua kuvaa cage heels

nani kapendeza zaidi tuambie kupitia mitandao yetu ya kijamii

 

Comments

comments