SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

LULU KATIKA SKATER SKIRT
Mitindo

LULU KATIKA SKATER SKIRT 

Sote tunajua katika watanzania ambao watu huwaangalia wame vaa nini basi bi dada Elizabeth Michael a.ka. Lulu hakosi katika list zetu, Lulu ame fanya photo shoot bado haija julikana ya nini akiwa amevalia skater skirts na akiwa ame weka nywele style ya Bob tume penda kila kitu kuhusu muonekano wake.

FB_IMG_1459319948570 FB_IMG_1459320061156 FB_IMG_1459320064747

apa lulu amevalia skeater skirt nyekundu huku akiwa amevalia wig la bob la rangi ya dhahabufd gf t

Lulu akiwa amevalia skater skirt ya maua maua aki matchisha rangi ya skirt na viatu vyake akiwa ameweka nywele za rangi nyeusi bob style

tuambie je umependa muonekano wa lulu kwa ku comment hapo chini

Related posts

2 Comments

  1. car accident lawyer in tarzana

    … [Trackback]

    […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/lulu-katika-skater-skirt/ […]

  2. read review

    … [Trackback]

    […] There you can find 19349 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/lulu-katika-skater-skirt/ […]

Leave a Reply