Lulu ni moja kati ya watu ambao ukiwaalika katika harusi yako ina bidi uwe ume jiandaa vizuri kwa maana huwa ana vaa hasa ana pendeza una weza kusangaa akakupita hadi ulie mualika, hizi ni style tatu kali tulizo zipenda kutoka kwake kwa mwezi huu
Lulu alivaa hii short gauni ambayo ina kijitai kwa mbele na viatu vyekundu, ame weka lace wig jeusi na ame malizia muonekano wake kwa make up ya kawaida na urembo mdogo
Lulu ali risk kuvaa gauni jeupe kwenye harusi, huwaga ni risk mno kuvaa rangi hii kwa maana ni rangi ambayo hutumiwa na ma bibi harusi mara nyingi, ukiivaa unaonekana kama una shindana nae lakini alipendeza mno tume penda ombre lipstick
hii ndio tuliyo ipenda zaidi, staili ya nwele ni nzuri, make up ime kaa vizuri, the dress is wow ame pendeza mno
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/lulu-michael-wedding-guest-style/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/lulu-michael-wedding-guest-style/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/lulu-michael-wedding-guest-style/ […]