SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

LUPITA BADO ANAENDELEA KUVAA VIREMBA KATIKA RED CARPET
Mitindo

LUPITA BADO ANAENDELEA KUVAA VIREMBA KATIKA RED CARPET 

Muigizaji Kutoka Kenya Bi. Lupita Nyon’go ame endelea ku keep It African katika kuitangaza Movie yake mpya ya  Queen Of Katwe, Juma mosi iliyo pita alikuwa katika London Film Festival katika  premiere ya movie yake Queen of Katwe, na kama kawaida she dressed to kill. Lupita alionekana katika colorfully outfit iliyo sindikizwa na gere kichwani

393F46BD00000578-3829692-image-a-166_1476041276582

Lupita ali accessorize vazi lake hilo na hereni ndefu za blue 393F79AE00000578-3829692-image-m-162_1476041210421

Alipaka eye liner ya blue, bold red lipstick393F465600000578-3829692-image-m-159_1476041167712

The head wrap na trouser  is every thing 393F585700000578-3829692-image-a-160_1476041188594 3940720400000578-3829692-image-m-222_1476057801282

Related posts