SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Lupita Nyong’o, Hailee Steinfeld Rocking Color Of the Year 2018 Katika Red Carpet
Mitindo

Lupita Nyong’o, Hailee Steinfeld Rocking Color Of the Year 2018 Katika Red Carpet 

Pantone/Purple  ( Ultra Violet 18-3838) ilitajwa kuwa rangi ya mwaka 2018,ambapo watu wengi tuliona kama ni rangi ngumu kuivaa hasa kama kwenye special events, well watu maarufu mbalimbali wameonekana kuanza kuvaa rangi hii katika red carpet na kuna ambao wame tu impress na ambao hawaja tuvutia katika macho yetu,

Tuanze na walio tuvutia

Muigizaji Lupita Nyong’o akiwa katika purple carpet ya premiere ya movie yao mpya ya black panther, Lupita amevaa gauni ya purple yenye stones mbalimbali kutoka kwa mbunifu Versace, her skin color ime compliment the dress color she just look “flawless” and that hair do is wow.

Mwanamuziki Latoya Lockett akiwa amevali purple dress kutoka kwa NFBYNOUR, hii ilikuwa katika red carpet ya NAACP Image awards 2018, Latoya alimalizia muonekano wake with baby blue earrings na purple lipstick.

 

 

Hailee Steinfeld alionekana katika red carpet ya Grammy’s 2018 akiwa amevalia a beautiful white dress na purple boots, we love that ameamua kuleta style yake kwenye red carpet mixing this elegant dress with sassy shoes.

Mfanya biashara, muigizaji na mchekeshaji  Jennie McAlpine alionekana katika red carpet ya National Television Awards 2018, ambapoa alivaa off shoulder purple dress na gray shoes (which we don’t like)

Wengine walio onekana na purple kwenye red carpet ambao hawaja tuimpress ni

Makeup artist Patrick Star went too much with the color

Mwanamuziki Dram akiwa katika red carpet ya Grammy’s 2018, amevali gucci suit ya purple, the suit is nice kilicho haribu ni style yake ya nywele if only zingebanwa vizuri his shoe game is on point.

Related posts

5 Comments

 1. Watermelon 1.2g Wax Infused Pre-Roll

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/lupita-nyongo-hailee-steinfeld-rocking-color-of-the-year-2018-katika-red-carpet/ […]

 2. window repair

  … [Trackback]

  […] Here you will find 90621 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/lupita-nyongo-hailee-steinfeld-rocking-color-of-the-year-2018-katika-red-carpet/ […]

 3. click to read more

  … [Trackback]

  […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/lupita-nyongo-hailee-steinfeld-rocking-color-of-the-year-2018-katika-red-carpet/ […]

 4. qiu qiu

  … [Trackback]

  […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/lupita-nyongo-hailee-steinfeld-rocking-color-of-the-year-2018-katika-red-carpet/ […]

 5. relx คืออะไร

  … [Trackback]

  […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/lupita-nyongo-hailee-steinfeld-rocking-color-of-the-year-2018-katika-red-carpet/ […]

Comments are closed.