SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

LUPITA NYONG’O KUPELEKA GERE KATIKA RED CARPET
Mitindo

LUPITA NYONG’O KUPELEKA GERE KATIKA RED CARPET 

Alikua mwanamitindo na sasa ni muigizaji mkubwa kutoka Kenya bi Lupita Nyong’o ameoenakana kuvalia Gere (kilemba cha Ki- Africa) katika red carpet ya kupromote filamu yake mpya iitwayo Queen of Katwe, Lupita alionekana katika gauni la njano lenye urembo wa blue akiwa amevalia na kiremba (gere) la blue

lupita

Lupita alivalia gauni  kutoka House Of Herrera amemalizia muoenakano wake na gere, hereni na blue clutch, she looks african

lupita1

lupita2

 

Related posts