Kwa sasa ni favorite slayer wetu, she is winning and queening Lupita Nyong’o doesn’t play, akiwa ame enda katika show ya “The Late Show with Stephen Colbert” alivalia : Escada ‘Chilla’ Yellow Coat from the Fall 2016 collection alipendeza mno na ame vaa pumps nyeupe ila haja tufanya tufikirie kuhusu bibi harusi
tume penda color combo and the bag is a killer
lakini wakati wa kutoka ali switch vazi, hapana chezea Lupita na wala hataki mumzoee. The queen of kantwe alivaa Monse Black and White Houndstooth and Stripe Print Dress with Matching Belt from the Resort 2017 Collection | Gianvito Rossi Sandals tumependa jinsi dress ilivyo simple na alivyo i-style
Style Credits:
First Look: Escada ‘Chilla’ Yellow Coat from the Fall 2016 collection
Second Look: Monse Black and White Houndstooth and Stripe Print Dress with Matching Belt from the Resort 2017 Collection | Gianvito Rossi Sandals
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…