Sio kitu cha ajabu kumuona Lupita akiwa amevalia Kitenge, kama ambavyo wote tunajua Lupita ni m-Kenya akiwa amechanganyika na Mexican. Lakini ni mara chache kumuona mwanadada huyu akiwa amevalia African prints.

Akiwa Nchini Nigeria mwanadada huyu alihudhuria event ya celebration of the life Olusegun Akanni Doherty, Lupita alivalia mermaid shaped skirt na modest peplum style with puffy below-the-elbow sleeves top kutoka kwa mbunifu  Funke Adepoj akamalizia na gele la blue.

Lakini pia alituongezea one more Nigerian Flex akiwa amevalia nguo kutoka kwa mbunifu huyohuyo Funke Adepoj,

well Afromates je umependa mtindo gani wa nguo kati ya hii miwili?