SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Magauni 3 Aliyovaa Jennifer Lopez Katika Harusi Yake Na Ben Affleck
Mitindo

Magauni 3 Aliyovaa Jennifer Lopez Katika Harusi Yake Na Ben Affleck 

Wanasema true love never dies enhe? baada ya miaka kadhaa, ndoa kadhaa na mahusiano kadhaa ku-fail Ben Affleck na Jlo wamerudiana na kufunga ndoa. Jlo na Ben Affleck walifunga ndoa hii katika nyumba ya Ben Affleck iliyopo Georgia.

Jlo alivalia magauni matatu ambayo yote yalitoka kwa mbunifu Ralph Lauren. Gauni la kwanza ambalo alifunga nalo ndoa lilikuwa ni turtle neck column dress ambayo inasemekana zilikatwa 1,000 handkerchiefs na 500 meter za kitambaa na kuwa attached kwa mikono kutengeneza hio voluminous, romantic skirt lakini pia alimalizia muonekano wake na  cathedral-length veil huku kwa upande wa accessories inasemakana alivaa jewelry zenye thamani ya karibia  $100,000 kutoka kwa mbunifu Mikimoto, huku akimalizia na white pearl & diamond earrings with a matching floral ring.

Kwenye reception Jlo alivaa chandelier-inspired gown ambayo ilikuwa na maelfu ya cascanding strings of pearls, hii gauni ilitengenezwa na wasanii 30 na kutumia masaa 700 kulikamilisha. Kwa gauni ya mwisho Jlo alivalia sleek mermaid-style gown with a Swarovski crystal-embellished keyhole and full skirt topped with a hood-like organza overlay.

Tuambie gauni lipi la Jlo limekuvutia zaidi kati ya haya matatu?

Related posts

3 Comments

 1. see here now

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/magauni-3-aliyovaa-jennifer-lopez-katika-harusi-yake-na-ben-affleck/ […]

 2. solitaire

  … [Trackback]

  […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/magauni-3-aliyovaa-jennifer-lopez-katika-harusi-yake-na-ben-affleck/ […]

 3. Buy Changa DMT online Victoria

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/magauni-3-aliyovaa-jennifer-lopez-katika-harusi-yake-na-ben-affleck/ […]

Comments are closed.