Ikiwa kesho ni jumatatu na wengi tukiwa tunajiandaa kwenda makazini, tunakuletea makosa matano ya kuepuka kufanya katika kuvaa mavazi ya ofisini,
- Jinsi Ya Kustyle Mavazi Ya Ofisini
- Loud Makeup
As much as tunapenda makeup lakini loud makeup zinasehemu zake na zio kazini, kazini keep it natural or neutral ukiwa na bold lipstick basi vingine vyote viwe minimum na kama unapenda kuwa na foundation na brows done zionekane basi go with neutral lipsticks kucalm the look.
- Neat Hair Do
Ikiwa Dunia inakila aina ya hair trend ambazo ungependa kuweka lakini ungefanya hivyo ukiwa likizo ni vizuri zaidi,ukiwa kazini do it proffesional kwa kuweka hair style ambayo ni neat na appropiate for work.
- Epuka Mavazi Mabayo Hayakutoshi Vyema.
Japo Kazini si vyema kuvaa mavazi yanayobana sana lakini pia haimaniishi uvae mavazi ambayo ni makubwa kupita kiasi, vaa mavazi ambayo yanakutosha vyema na kuendana na mwili wako. Lakini pia jaribu kuepuka kuonyesha too much skin ukiwa kazini
- Jua Namna Ya Kubalance Heavy Prints & Solid Colors
As much as tunapenda kuwa fashionable ofisini jaribu ku-balnce mavazi yenye rangi kali na yenye heavy prints kwa kuvaa na yake ambayo yapo calm, you don’t want to look like a christmass tree at work. Keep it simple, stylish & Classy.
- Chagua Viatu Vizuri Kwa Ajili Ya Kazini
Ndala, Makobazi, loud mules viache for the weekend unapokuwa kazini jaribu kuvaa viatu ambavyo ni vizuri na upo comfortable kutembelea.
Related posts
7 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/makosa-matano-5-ya-kuepuka-kufanya-katika-mavazi-ya-kazini/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/makosa-matano-5-ya-kuepuka-kufanya-katika-mavazi-ya-kazini/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/makosa-matano-5-ya-kuepuka-kufanya-katika-mavazi-ya-kazini/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/makosa-matano-5-ya-kuepuka-kufanya-katika-mavazi-ya-kazini/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 16038 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/makosa-matano-5-ya-kuepuka-kufanya-katika-mavazi-ya-kazini/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/makosa-matano-5-ya-kuepuka-kufanya-katika-mavazi-ya-kazini/ […]
cozy jazz music
cozy jazz music