SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Makosa Ya Ki-Fashion Unayo Yafanya Na Jinsi Ya Kutatua – 1
Mitindo

Makosa Ya Ki-Fashion Unayo Yafanya Na Jinsi Ya Kutatua – 1 

Inaweza kuwa unajua kama una fanya makosa na unaweza kuwa haujui kama una fanya makosa na ki-fashion, well kuna common mistakes ambazo wengi huwa tuna commit bila kujua au kudhani kwamba ni sawa, well its not. Leo tunakuletea Episode ya kwanza ya Fashion Mistakes & How To Fix Them.

  • Kununua Nguo Ndogo Kuliko Mwili Wako

Kuna ambao wanaamini kuvaa nguo size ndogo zina kufanya uonekane mdogo au kuwa na mwili mdogo, Nope your not.. actually unaonekana kama unajaribu kufit in a elephant katika ndoo, na mwili unazidi kuonekana mkubwa.

FIX IT – Nunua mavazi yanayo kutosha hii inaweza kusaidia kufanya mwili wako uoenekane mdogo na well fitted katika mavazi, lakini pia kumbuka size zinatofautiana ambacho unatakiwa kukijua ni jinsi gani unajisikia katika vazi ilo, is it your style? Inakutosha? Inaonyesha the best feature of you? Then go for it.

  • Over Accessorizing 

Okay japo kuna msemo una sema how much is too much lakini kuna kipindi vitu vinakuwa too much, kwanini uvae kila kitu kwa wakati mmoja na kutu destruct kuona other beautiful features of you?

FIX IT – Kama unavaa plain cloth add statement accessories na kama una vaa complicated cloth jaribu kuwa minimum na accessories zako, you dont want to look like a cloth and accessory shop, relax there’s always tomorrow.

  • Kununua Mavazi Ambayo Hayaendani Na Aina Ya Mwili Wako

Hapa ndipo wengi tunapo Fail huwezi kuwa na body ya shilole ukataka kuvaa nguo za Vanessa Mdee au mwili wa Diamond avae mavazi ya Sallam Sk we all have different body types na pia mavazi yetu hayaingiliani, yes its cute but its not for you skip it & move on.

FIX IT- Jua aina ya umbo/mwili wako na nini unatakiwa uvae, hii itasaidia kuonyesha zile feature zako nzuri na kuficha zile ambazo usingependa zionekane, lakini pia itakupa muonekano sahihi kutokana na mwili wako bila kutumia nguvu ya kuforce sio iwe ndio.

Well kwa leo tuishie hapa mpaka next time on Fashion Fix lakini pia tungependa kupata maoni yenu ya nini mngependa tuongelee katika segment hii.

Related posts

2 Comments

  1. mp3juice

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/makosa-ya-ki-fashion-unayo-yafanya-na-jinsi-ya-kutatua-1/ […]

  2. นำเข้าสินค้าจากจีน

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/makosa-ya-ki-fashion-unayo-yafanya-na-jinsi-ya-kutatua-1/ […]

Comments are closed.