SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mama Dangote Atumia Kibanio Cha Pazia Kuwa Mkufu
Mitindo

Mama Dangote Atumia Kibanio Cha Pazia Kuwa Mkufu 

Huwa tunasema fashion haina mipaka, tumia uwezacho as long as unaona kinafaa katika muonekano wako.
Tumeshaona watu maarufu kadhaa wakitumia vitu vya ndani katika mionekano yao kama tulimuona Harmonize akitumia vijiko ma visu katika vazi lake,

tumeona Diamond platnumz alivyotumia kitambaa cha pazia kushonea suit

na leo tunamuona mama Dangote ambae yeye ametumia vibanio vya kubania pazia kuwa mkufu

Mama Dangote alishare hii picha akiwa amevalia mavazi na remba la blue, makeup ikiwa imetulia kabisa na akamalizia muonekano wake na mkufu ambao katika kuungalia kwetu kwa makini tukagundua ni kibanio cha kubania pazia

Well vibanio hivi huwa vinauzwa maduka wanayouza pazia kuanzia tsh 5,000 tu kama umependa ubunifu huu unaweza kujaribu but kabla ya hapo tuambie slap or clap kwa ubunifu huu wa mama Diamond

Related posts