SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MAMA NA MWANA WAJA NA YAO KATIKA MITINDO
Habari

MAMA NA MWANA WAJA NA YAO KATIKA MITINDO 

Ulimwengu wa Instagram umeleta mambo mengi, kuna ambao wana fanya biashara, wanao nadi vyakula na pia wanao onyesha ujuzi wao katika mavazi na mitindo hawa ni wengi zaidi. Wenye kuonyesha umashuhuri wao katika mitindo huwa wanaonyesha wana vaa nini kila siku (#OOTD) Out Fit Of the Day, Hawa wana wafuasi wengi ukizingatia kila mtu ana taka kwenda kwa wakati.

image

Bwana Peepy @peepy_hi_mag na mama yake Bibi Lee ni kati ya watu walio jipatia umaarufu sana katika mtandao wa Instagram kwa mitindo yao hasa kwa kuvaa sare sare mama na mwana. Wengi tumezoea kuona mama na mtoto wake wa kike ndio wavae sare au baba na mtoto wa kiume lakini Lee na Peepy imekua tofauti kidogo kwa sababu Peepy ni mwanaume na ana vaa sare na mama yake hicho ndicho kinacho wavutia wengi zaidi.

10729410_1554436784770837_2010547118_a

Kwa jinsi ambavyo inaonekana mama Lee na Mwanae wana penda nguo za maua maua na mpaochi ya kufanana pia urembo kama miwani na pete.

10881956_818293598207757_837255339_n

Peepy ana fanya kazi katika gazeti la mitindo (Bangkok-based fashion magazine) kama mhariri mkuu wa gazeti ilo.

imagee

 

 

 

 

 

Related posts

3 Comments

 1. archetyp market

  … [Trackback]

  […] There you can find 17672 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mama-na-mwana-waja-na-yao-katika-mitindo/ […]

 2. Study in Africa

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mama-na-mwana-waja-na-yao-katika-mitindo/ […]

 3. pringfield farm carts https://exotichousedispensary.com/product/springfield-farm-carts/

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mama-na-mwana-waja-na-yao-katika-mitindo/ […]

Leave a Reply