SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mambo 3 Yaliyotuvutia Kutoka Katika Event Ya Miss Tanzania 2020
Mitindo

Mambo 3 Yaliyotuvutia Kutoka Katika Event Ya Miss Tanzania 2020 

Hatuwezi kuacha kusifia pale sifa zinapo stahiki na kukosoa pale ambapo tunaona pamekosewa hili kujenga Miss Tanzania bora kwa miaka ijayo, tuanze kwa kusema tumefuraishwa na event ya Miss Tanzania mwaka huu. Imeonekana kwamba waandaaji wameanza kusikiliza maoni ya wengine pia. Leo tunaleta mambo matano tuliyoyapenda

Maoni yetu kwa washiriki wa Miss Tanzania 2018

 • Warembo waliandaliwa vyema

Warembo walikuwa na vibe nzuri, kuanzia kutembea, smiles kwenye sura zao, tukiongelea confidence kwenye kujibu maswali ilikuwa nzuri sana. Ilikuwa unasikia tu kuendelea kuwaangalia na kuwasikiliza wakiongea na walitupa tabu kujua nani atashindwa kwa maana wote walikuwa vyema.

 • Vazi la ubunifu

Tuseme Amen hapa, finally tumeanza kufanya vitu vinaeleweka na kuondoa yale magazeti, migomba na viroba. Mwaka huu tumeona washiriki wamejitahidi kuwa na mavazi ya ubunifu yenye kueleweka sisi kwetu tulipenda sana concept behind the costumes kama ambae alivaa skirt yenye mlima Kilimanjaro, aliyebeba Bendera ya Tanzania mgongoni mwake akimaanisha analiwakilisha Taifa lake lakini pia aliyeingia na ngalawa akavaa skirt ya blue chini ikiwa kama bahari,ziwa au mto.

 • Zawadi Kutolewa Kwa Wakati

Hiki ni kitu ambacho kilikuwa kinasumbua sana miaka michache nyuma, warembo kutokupewa zawadi zao kwa wakati sahihi, lakini mwaka huu tumeona mabadiliko ambapo warembo wamekabidhiwa zawadi zao kwa wakati. Hii itawapa hamasa na wale ambapo walisha vunjika moyo wa kushikiri na kushiriki tena miaka ijayo.

Hogereni Miss Tanzania Committee kwa kupiga hatua mbele kwenye shindano hili.

Related posts

2 Comments

 1. diabetes drug for weight loss ozempic​

  … [Trackback]

  […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mambo-3-yaliyotuvutia-kutoka-katika-event-ya-miss-tanzania-2020/ […]

 2. magic mushrooms for sale USA

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mambo-3-yaliyotuvutia-kutoka-katika-event-ya-miss-tanzania-2020/ […]

Comments are closed.