SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mambo Matatu Ambayo Husemwa Ni Makosa Ya Fashion Lakini Si Makosa Kabisa
Mitindo

Mambo Matatu Ambayo Husemwa Ni Makosa Ya Fashion Lakini Si Makosa Kabisa 

Fashion ni maisha, kwanini tunasema ni maisha sababu Fashion ipo milele na huwezi kutembea barabarani hujavaa that means chochote unachovaa kinahesabiwa kama mtindo, well leo tunaongelea mambo matatu ambayo hutajwa kama makosa ya Fashion lakini kumbe si makosa kabisa, na mambo haya husemwa ni makosa kutokana na imani ya watu wengi kuamini kitu fulani ni kosa lakini kumbe ni kitu cha kawaida,

  • Kuvaa Outfit Moja Mara Kwa Mara

Mara ngapi umekutana na post katika baadhi ya pages kwenye mitandao ya kijamii ikimsema mtu fulani kwa kurudia vazi? mara nyingi right? well we are guilty for that too. Kurudia sio fashion crime kabisa if you like it wear it, iwe unaweza kuufanya muonekano huo ubadilike au kuvaa vilevile thats your choice, lakini pia nani ananunua nguo avae mara moja na kuzitupa? even Bill Gates repeat who are you not too?

 

  • Kutokuwa Fashionable 

Well ni mara nyingi tumeshawahi kusikia watu wa kisema huyu nae style zake za ki-zamani au hiki kitu kimevaliwa wee yeye ndio unavaa leo, sio kila mtu anaweza ku-keep up na mitindo kwa hiki kinavaliwa sasa hivi basi na yeye akijue au ajue hiki kipo out dated, na sio dhambi kuvaa kitu ambacho kimeisha wakati we say if you like it wear it sio kosa wala dhambi ya fashion.

Trend’s We Are Leaving 2018

  • Kuvaa Sio Umri Wako

Kuna rules nyingi katika fashion ambazo unaweza kuzi – break after all rules are made to be broken, kuna rule inasema kuvaa kutokana na umri wako sisi tunasema vaa kutokana na unavyojisikia kama unajisikia vizuri kuvaa chochote basi vaa, tunachojua unaweza kuvaa vibaya kutokana na event lakini sio umri, fashion haijui umri,vaa kile ukipendacho as long as unapendeza na unajisikia vizuri ukikivaa.

 

 

 

 

Related posts

1 Comment

  1. one pound strawberries calories

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mambo-matatu-ambayo-husemwa-ni-makosa-ya-fashion-lakini-si-makosa-kabisa/ […]

Comments are closed.