Ebuka Obi Uchendu ni Man Style Crush wetu wa kwanza 2018, hatuwezi kusema ana slay too much kuliko wanaume wote ulimwenguni mpaka tukamuweka wa kwanza lah hasha lakini his story ya kuwa midomoni mwetu ndio imetufurahisha, Kama Mnakumbuka harusi ya mwanamuziki Bank W kila mtu alikuwa anaiongelea huyu bwana ali slay kupita bwana harusi ikatufanya tutakekujua zaidi kuhusu yeye.
Ebuka ni mwanasheria,muandishi na Tv Host kutoka Nigeria, we love his fashion sence sio tu kuvuruga harusi za watu lakini pia akiwa casual au non casual ana pendeza sana, he looks smart kila sekta.
On traditional outfits, he always keeps it clasyy & clean, uchaguzi wake wa rangi ni A1 na fundi wake is not playing na kazi yake.
Suiting it up, tukiongelea un cusual outfits ni pamoja na suit awe kavaa kazini, red carpet au on business matter he always look elegant and stylish
Casual, He always on trend and makesure his outfits are well fitted
Tunaweza kusema tungependa kuwaona our tanzanian brother’s wakiwa wana pendeza hivi nakujua nini kinawafaa katika mitindo yao.
Related posts
3 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/man-style-crush-ebuka-obi-uchendu/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/man-style-crush-ebuka-obi-uchendu/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/man-style-crush-ebuka-obi-uchendu/ […]