SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mange Kimambi Carrying Gucci Aphrodite Medium Handbag
Mitindo

Mange Kimambi Carrying Gucci Aphrodite Medium Handbag 

Mange Kimambi ni moja kati ya watu maarufu wenye kupenda kuongelea uvaaji wa designers na kupiga vita uvaaji wa fake designers, week hii amekuwa aki-keep up na followers wake kwa kupost picha zake mbalimbali na ambacho tume notice ni kwamba Mange na quite luxury ni vitu viwili tofauti.

Katika looks zake tulizoziona tumeona akiwa amevalia mavazi ya kawaida lakini accessories zake ni kutoka katika kampuni kubwa za mavazi ikiwepi Gucci, Channel, Saint Laurent etc, tukaona sio mbaya tukaangalia vitu hivi vimemgharimu kiasi gani.

Leon tunaongelea hii recent look, ambayo ilikuwa ni green affairs, amevaa top ya kijani, highwaist trouser ya kijani, viatu vya kijani

akabeba green aphrodite medium handbag kutoka kwa kampuni ya Gucci, Bag hii inauwa USD 2,290 sawa na pesa zetu Tsh 5,736,450

Kingine ambacho tumekiona kwenye muonekano wake ni miwani ya Saint Laurent aliyoivaa,

miwani hii imepewa jina la SL M119 BLAZE kwenye website yao haijaandikwa ni kiasi gani lakini katika pitapita zetu tumeona inaanzia kuuzwa $620 ambazo ni sawa na Tsh 1,628,250

Well we can say when it comes to looks dada wa Taifa hafanyi mchezo.

Related posts