SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MANGE KIMAMBI NDANI YA TRUMPET SKIRT
Mitindo

MANGE KIMAMBI NDANI YA TRUMPET SKIRT 

Hivi karibuni tulipost na kusema Trumpet skirts ndio trend mpya mjini, na hili kujua ni trend lazima uwaone wa penda mitindo (fashionista) wakivaa, na hapa tunae Fashionista kutoka Tanzania Bi. Mange Kimambi akiwa amevalia Trumpet Skirt mara mbili, mara ya kwanza alivaa skirt hio fupiĀ  ya pink wakati mara ya pili alivaa ndefu ya rangi ya damu ya mzee. Amependeza je ume pendelea mtoko upi wa pink au damu ya mzee? tupe maoni yako hapo chini

MANGE1

MANGE

Mange akiwa amevalia min Trumpet Skirt na viatu vya nude ambavyo ame match na blauzi yake.

MANGE2

MANGE3

Mange akiwa amevalia ki top nyeusi ambayo ame match na viatu na trumpet skirt ya damu ya mzee..

 

Related posts

2 Comments

  1. my response

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mange-kimambi-ndani-ya-trumpet-skirt/ […]

  2. gordijnen dubbele plooi

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mange-kimambi-ndani-ya-trumpet-skirt/ […]

Leave a Reply