SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mange Kimambi, Tanasha Donna, Nandy And Many More In Mustard Yellow Color
Mitindo

Mange Kimambi, Tanasha Donna, Nandy And Many More In Mustard Yellow Color 

Mwaka jana katika Tamasha kubwa la SFW tuliona moja ya trend ambazo zilitamba katika jukwaa hilo ni hii rangi ya Mustard yellow, ni rangi ambayo inaelekea kuwa gold fulani, a very nice color ipo calm na inaweza kuvaliwa na chochote. Week hii katika mitandao ya kijamii tumeona ndio rangi ambayo imetamba zaidi watu maarufu mbalimbali wameonekana kuvalia rangi hii, unaweza kuiga namna ambavyo wame-style mavazi yao ya rangi hii

Photographer & Videographer @benardatilio, alisheherekea birthday yake in this mustard yellow suit kutoka kwa mbunifu speshoz mara nyingi huwa tunasema ku-stand out hakuhitaji nguvu nyingi even a color can make you stand out. We love that ni mwanaume na ame-dare kuvaa colorful suit.

Nigerian Media Personality and a fashionista Toke Makinwa na yeye ameonekana akiwa amevalia hii rangi ambapo yeye alivaa a wrapped mustard yellow dress, blue celine handbag aliyo match na viatu vyake akamalizia muonekekano wake na sunglasses, hereni na bracelets, Brunch anyone?

Dada wa taifa Mange Kimambi yeye alivalia a mustard yellow blazer dress, black thigh high boots na amebeba handbag ya Lv.

Nandy yeye alichagua two pieces Mustard yellow outfit amemalizia na fur dropped earrings na black funny pack.

Wakati mwanamuziki Linnah yeye alichagua kuvaa mustard yellow crop top, blue min skirt akamalizia na leopard print fanny pack, mules na miwani, if this isn’t weekend outfit goals we don’t know what is.

New Wifi all the way from Kenya, Tannasha na yeye tumemuona in mustard yellow long sleeve top, blue jeans, kicks akimalizia na leopard print funny pack.

Related posts

4 Comments

 1. liberty cap

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mange-kimambi-tanasha-donna-nandy-and-many-more-in-mustard-yellow-color/ […]

 2. cz firearms for sale

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mange-kimambi-tanasha-donna-nandy-and-many-more-in-mustard-yellow-color/ […]

 3. briansclub

  … [Trackback]

  […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mange-kimambi-tanasha-donna-nandy-and-many-more-in-mustard-yellow-color/ […]

 4. description

  … [Trackback]

  […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mange-kimambi-tanasha-donna-nandy-and-many-more-in-mustard-yellow-color/ […]

Comments are closed.