SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Maoni Ya Fahvanny Juu Ya Vazi La Tems Kukosolewa
Mitindo

Maoni Ya Fahvanny Juu Ya Vazi La Tems Kukosolewa 

Usiku wa kuamkia Jumatatu kulikuwa na Tuzo kubwa za Oscar, Tuzo ambazo zilihudhuriwa na watu maarufu mbalimbali walioalikwa, mwanamuziki kutoka Nigeria, Tems nae alihudhuria hafla hii akiwa amevalia vazi lake zuri lakini lilipata feedback mbaya kutokana na headpiece kuwaziba kuona waliokuwa nyuma yake.

Well tumepokea maoni kutoka kwa mwana-fashion Fahyma au Fahvanny kuhusu vazi hilo na wapi kosa lilikuwepo

FahymaNingependa uwe unaelezea kiundani ili watu wakuelewe wewe kama mwana fashion ili wajifunze pia?

Hiyo nguo haikuwa na shida hata kidogo tena amevaa mahali stahiki, sema tu alichokosea yeye nikuingia ndani ya ukumbi na hiyo nguo wakati hiyo ni drama ya red carpet tu nasio nguo ya kuingia ndani then ukae nayo

Akaendelea kwa kusema “So many of us hatujui tuvae nini red carpet na pia hatujui tuvae nini ndani ya ukumbi, wewe kama mwanafashion you have to kuelezea kwa undani zaidi ili watu wakuelewe pia

Watu wengi wanahisi tems amekosea kuvaa no hajakosea na kiukweli yeye ndie star alie funika ktk red carpet juzi hakuna alie pendeza kumzidi, the problem is ameshindwa kutofautisha tu”

NOTE: Tunaahidi kuwa tunatoa maoni pale ambapo patakuwa hapaeleweki lakini pia tunaruhusu kupokea maoni kutoka kwa wengine, asante Fahyma kwa maoni yako.

Related posts