Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii.
Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike Elisha Red Label ambae amewavalisha wasanii maarufu mbalimbali kama Elizabeth Michael, Wema Sepetu na wengine wengi, akitupa maoni yake

AS: Mtazamo wako ni upi katika event ya Miss Tanzania Iliyofanyika Usiku Wa Tarehe 5, namna ambavyo washiriki waliandaliwa kuanzia kwenye mavazi, kuanzia la ufunguaji, beach wear na evening gown
- Elisha Red Label: Well inabidi pongezi ipewe pale inapostahili, in general ilikuwa event nzuri zaidi ya miss TZ kuliko za nyuma in terms of the quality of the event( katika ukumbi, stage and etc) and the prize Car was actually very decent, so katika hiyo department wamejitahidi sana and big up to them… Now to the fashion segment of the night, the evening wear was actually pretty, and the traditional wear was outstanding so it is good to improvement on that part, the thing that didn’t make sense ni hii beach wear, I understand kutaka kufata maadili, but then huwezi kuita kitu beach wear wakati clearly sio beach wear, hamnaga leggings kwa beach wear, and kama unafata maadili kuficha mwili inabidi ibadilishwa jina hiyo segment hata ingeitwa casual wear maybe, maana akienda mshindi kwenye jukwa international what happens ikibidi avae beach wear kweli? Its just a conflict…
- The committee of the pageant has improved a lot, and for that they deserve a lot of credit.
AS: Kama mbunifu, unadhani ni nini kifanyike mwakani ili kupata Miss Tanzania bora zaidi
- Elisha Red Label: still they have a long way to go, the event didn’t have hype, they need more influencers and A-list celebrities to promote it, they need proper PR, so that even the girls participating are of a higher standard, we need to make Miss TZ a big deal, it needs to demand respect, it needs to actually produce a beauty queen that can compete with the likes of Miss India, Miss china and etc… if we can Produce some one like Diamond platnumz who can compete in a global stage why not have a beauty queen who can perhaps win Miss World… Thank you my dear
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/maoni-ya-mbunifu-elisha-red-label-kuhusu-event-ya-miss-tanzania-2020/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 32317 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/maoni-ya-mbunifu-elisha-red-label-kuhusu-event-ya-miss-tanzania-2020/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/maoni-ya-mbunifu-elisha-red-label-kuhusu-event-ya-miss-tanzania-2020/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/maoni-ya-mbunifu-elisha-red-label-kuhusu-event-ya-miss-tanzania-2020/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/maoni-ya-mbunifu-elisha-red-label-kuhusu-event-ya-miss-tanzania-2020/ […]