SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Maoni Yetu Katika Fashion Couture Affair Event 2019
Mitindo

Maoni Yetu Katika Fashion Couture Affair Event 2019 

Tarehe 23 Feb 2019, Tamasha la mitindo liitwalo Fashion Couture Affair lilifanyika kwa mara ya kwanza hapa Nchini kwetu Tanzania, wabunifu mbalimbali wali-showcase kazi zao na tunaweza kusema we can’t wait kuona mwakani watatuletea nini. Onyesho hili lilijumuisha wabunifu kutoka Tanzania na Nchini Kenya tulipata ku-experience wenzetu wanafanya nini huko Nchini kwao.

Kulikuwa na wabunifu 7 ambao watani wanatoka Tanzania wakati wawili wakitokea Kenya

Kidato designs 🇹🇿
Levra with culture 🇹🇿
Angel Hudson 🇹🇿
Baghai classic fashion 🇰🇪
Mahamus Designs🇹🇿
Africa By Linet 🇰🇪
Rama D🇹🇿

Nini ambacho tuiona Jukwaa hili la Fashion Couture affair limefanya

  • Iliwapa jukwaa young designers

Jukwaa hili lilichukua wabunifu wachanga, ambao hawana majina, kwetu sisi tumeona hili ni jambo jema na zuri kuwapa nafasi damu changa kuonyesha kazi zao na kupata nafasi ya ku-platform kazi zao.

  • Tuliona wabunifu wenzetu wa Kenya zao Zikoje,  Tukajenga urafiki

Hakuna kitu chema kama kujenga urafiki na ujirani pamoja na Nchi nyingine kupitia vitu mbalimbali kama mitindo, lakini pia as Tasnia yetu bado inakua ni vizuri kujihusisha na Nchi nyingine ili kujifunza zaidi wenzetu wanafanya kitu gani na wapi tunakosea tujirekebishe.

  • Iliwapa nafasi models wachanga

Kam ailivyokuwa kwa wabunifu, tumeona pia Jukwaa la Fashion Couture Affair liliwapa nafasi wanamitindo wachanga kupita katika jukwaa hili, tumepata kuona kazi za upcoming models na wao wanafanya nini.

  •  Good decor and set up plus music

The set up was amazing, well organised, good decor & good music.

Designers walikuja kuwasupport. Martin, Agness, Shaabaz

Related posts

5 Comments

  1. สล็อตเว็บตรง 2023

    … [Trackback]

    […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/maoni-yetu-katika-fashion-couture-affair-event-2019/ […]

  2. สล็อตbetflik

    … [Trackback]

    […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/maoni-yetu-katika-fashion-couture-affair-event-2019/ […]

  3. have a peek here

    … [Trackback]

    […] Here you can find 75318 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/maoni-yetu-katika-fashion-couture-affair-event-2019/ […]

  4. purple magic mushrooms gummies​

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/maoni-yetu-katika-fashion-couture-affair-event-2019/ […]

Comments are closed.