SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MAPINDUZI YA SUTI ZA BLUE
Mitindo

MAPINDUZI YA SUTI ZA BLUE 

Ukiwa mwaka unaelekea kuisha hatukuweza kuacha ku notice ni kiasi gani suti za bluu zime fanya mapinduzi, si Tanzania tu bali hata nchi za nje. Imeonekana kwa watu wengi wakiwa wanaenda kwenye sherehe za aina mbalimbali katika wanaume kumi hawakosekani watatu wanne walio vaa suti za blue. Si kama zamani watu walipendelea kuvaa suti nyeusi,kahawia au nyeupe kama ndo za heshima zaidi. ime tubidi tujue je ni kwanini bluu?

idris sultan

Idris Sultan

Bluu ina jumuisha anga na bahari,pia ina onyesha nafasi, uhuru , mawazo,uongozi, na unyeti, lakini kwa kuongeza zaidi mtu aliye vaa bluu anaonekana muaminifu, mukweli, hekima , kujiamini, utulivu na akili

BOasXPzCIAMtdGY.jpg large

Sheria Ngowi

lakini kizuri zaidi rangi hii haichagui rangi ya mtu uwe mweupe au mweusi itakupendeza. Baadhi ya watu maarufu kutoka Tanzania walio vaa Suit za Bluu:

11098444_925462050850836_836988163_n[1] 11111328_676450445834387_760428807_n[1]

Ommy Dimpoz

hemedy unnamed

Hemedy Suleiman

chibu

Diamnd Platnumz

Related posts

Leave a Reply