SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MARA 2 ELIZABETH MICHAEL AMEVAA SHATI KAMA CROP TOP & WE LIKEY
I'm A Celebrity

MARA 2 ELIZABETH MICHAEL AMEVAA SHATI KAMA CROP TOP & WE LIKEY 

Kitu kizuri kuhusu style ni kwamba una enda na kile kitu unacho kipenda, ambacho una feel kipo right na wewe. Kama uwezo wako wa kucheza na mavazi yako, hapa ndipo mara nyingi wengi huwa wana fail, kwa sababu shati lime undwa livaliwe kama shati button up, official basi kila siku mtu atavaa hivyo hivyo kama a stylish person hio rule huwa hai’apply kwetu. Kuna ule msemo una sema think beyond au kule kuvuka mpaka uliyo wekewa. Jaribu ku changanya rangi na jaribu ku style nguo zako namna tofauti fotauti hii itakupa mionekano mipya kila siku.

Well leo tuna yule young Tanzanian Movie star & A Slayer Elizabeth Michael a.k.a Lulu, lulu ame tufurahisha jinsi alivyo amua ku style mashati yake kama crop top ni easy trick ambayo mtu yoyote ana weza akaifanya

mara ya kwanza aliva floral shirt ambayo aliifungua vifungo vyote aka funga fundo katikati as a crop top, kakunja mikono, ame accessories na vitu vingi kama choker, miwani,hereni,saa na mkoba alivaa shirt yake hio na high waist jeans na nude open heels.

tulicho penda kuhusu huu muonekano una weza kuwa date to night, ana weza akaachia shirt akafunga vifungo vyote bila kuchomekea akawa casual, lakini pia akatoa miwani na choker akafunga tena vifungo vya shirt mpaka juu, akateremsha mikono akachomekea na kuvaa a blaze or not akawa official japo hio suruali nayo isinge kuwa distressed ingekuwa bora zaidi unless uwe ume jiajiri.

Mara ya pili Lulu alivaa plaid shirt hii aliamua kuachia mikono na ki crop top kukivuta juu kidogo sio kama mara ya kwanza, pia ali accessories na mkufu na kikofia which tume kipenda mno, tume penda rangi ya suruali lakini ali opt kuwa casual zaidi kwa kuvaa safari boots.

we are so feeling Lulu’s style keep it up baby girl. Je ume penda muonekano A au B?

Tuambie kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamg

Twitter – afroswaggatz

Related posts

3 Comments

 1. my explanation

  … [Trackback]

  […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mara-2-elizabeth-michael-amevaa-shati-kama-crop-top-we-likey/ […]

 2. earn passive income

  … [Trackback]

  […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mara-2-elizabeth-michael-amevaa-shati-kama-crop-top-we-likey/ […]

 3. 다시보기 사이트

  … [Trackback]

  […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mara-2-elizabeth-michael-amevaa-shati-kama-crop-top-we-likey/ […]

Leave a Reply