Mwamvita Makamba tuna mjua kutokana na harakati zake lakini pia kutokana na harakati za baba yake na kaka yake katika Siasa, Mwamvita ame kuwa akienda na trendy na style katika swala zima la mavazi na leo tuna kuonyesha mara 4 mwamvita ame style Gucci Metallic crossover sandals zenye tamani ya $595/= sawa na 1,297,100/TZS
hapa ali style sandals hizi na wide legs nyeups na high low blouse ya kijani
hii ni chaguo letu tume penda alivyo style hivi viatu na hilli gauni na bila kusahau hio handbag hapo million dollar look
Hii alivaa sandals hizi za gold na gold short dress
Nude X Gold
lakini pia tulisha muona mdogo wa Beyonce Yasss Solange rocking hivi viatu, now you know mwamvita sio wa sport sport wala jokes jokes linapo kuja swala zima la Fashiooon na trendy
una weza kuvinunua hapa vina kuja katika bei tofauti na rangi tofauti
Tupe maoni yako kupitia
Instagram – afroswagga
Twitter – afroswaggatz
Facebook – afroswaggamag
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…