SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Marjorie Harvey Handbag Thamani Yake Sawa Na Gari Aina Ya Tesla
Mitindo

Marjorie Harvey Handbag Thamani Yake Sawa Na Gari Aina Ya Tesla 

Mke wa mtangazaji Stevie Harvey, Marjorie Harvey jana alipost accessory yake mpya ambayo ni handbag yenye muundo wa ndege kutoka katika kampuni ya mavazi ya Lv. Handbag hii imekuwa debuted katika  Louis Vuitton Fall/Winter 2021 ambayo ilikuwa designed by Virgil Abloh.

Handbag hii Inauzwa USD 39,000 Sawa na Tsh 90,434,877/- Inasemekana hii bei ni sawa na gari aina ya Tesla

Marjorie Harvey alipost hangbag hii akiwa amevalia na full black outfit na fur sandals

Kwa mujibu wa Virgil amesema inspiration kutoka kwa key pieces in the Fall/Winter collection was “tourist vs. purists.”

“It’s my organizing principle for my point of view when I make things,” Abloh said in an interview with Vogue. “A tourist is someone who’s eager to learn, who wants to see the Eiffel Tower when they come to Paris. The purist is the person who knows everything about everything.”

Related posts