SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Martin Kadinda Debuted She Gentle Collection At Swahili Fashion Week
Mitindo

Martin Kadinda Debuted She Gentle Collection At Swahili Fashion Week 

Mbunifu Martin Kadinda amedebut collection ya “She Gentle” Katika jukwaa la Swahili Fashion Week, ikiwa ni collection ya kwanza ya Just Mk Collection kuwa debuted.

Collection ilikuwa ina looks mbalimbali za kiume na za kike, ambapo alichagua rangi ya pink katika collection yake hio.

Martin ni moja ya wabunifu ambao wana invest katika kutambulisha collection zake mara zote huwa anaenda extra miles, mwaka jana tuliona alipandisha models wakiwa wanatembea kama robot lakini mwaka huu he gave us Queen theme ambapo tumeona ametoa theme hii katika movie ya coming to America. Hii imetufanya tufikiri kwanini wabunifu wengine wanashindwa kufanya hivi? Swahili wanakupa jukwaa ni wewe na u-creative wako ndio utakao fanya watu waondoke wakiongelea collection yako, guess who is being talked right now? Martin Kadinda.

With that being said lets see ni nini kilikuwepo kwenye collection hii

Collection ilikuwa na gauni, suruali, mashati, kaptula na vingine vingi well afromates mmeonaje collection hii mpya ya Martin Kadinda?

Related posts

4 Comments

 1. weight loss pills orlistat​

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/martin-kadinda-debuted-she-gentle-collection-at-swahili-fashion-week/ […]

 2. earn passive income

  … [Trackback]

  […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/martin-kadinda-debuted-she-gentle-collection-at-swahili-fashion-week/ […]

 3. ยูเรเนียน

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/martin-kadinda-debuted-she-gentle-collection-at-swahili-fashion-week/ […]

Comments are closed.