SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Martin Kadinda Gadabout Collection
Mitindo

Martin Kadinda Gadabout Collection 

Mbunifu Martin Kadinda ali debut hii collection mwaka jana katika Swahili Fashion Week, ambapo aliipa collection yake jina la Gadabout Collection, Gadabout maana yake ni kama mtafiti, mtu anae tafuta kitu fulani au aliye safarini kutafuta kitu fulani ni kama angeeita “msafiri” ila hii ni maana ya kiingereza hatujajua yeye katumia maana ipi.

Tumependa collection yake hasa katika color na patterns, tumependa style ya shirts jisni zilivyo buniwa tofauti na shirts tulizo zizoea, we say Martin amefanya kazi nzuri hapa.

The colors are perfect kwa mwanaume zimetulia, tumependa ameamua kutumia neutral colors kwamba unaweza kvaa na chochote.

tumependa pia kwamba unaweza kuchomoa piece moja ukaunganisha na nyingine ukavaa, Martin amekuwa atoa design hizi za tofauti kwa mara nyingi sasa ukiangalia collection zake utagundua ana aina fulani ya patterns ambazo zipo calm lakini pia ubunifu wake katika mashati ni wa tofauti ana jaribu kuongeza vionjo vingine.

Collection yake hii ipo classy yet fun, unaweza kuvaa ukaingia nayo ofisini, business meetings lakini pia ukatoka na kwenda nayo ku party so stylish.

Japo tunadhani hii ni comfort zone ya Martin tunadhani he has more to offer than this, hopeful mwaka huu kuna jipya ambalo atakuja nalo.

More looks from the collection

Stylist: @riopaul_
Images: @karolynklaire
Model 1: @jaymes_aloub
Facilitator: @garry_friend

Related posts

3 Comments

  1. ФИНАНСОВЫЙ ИНСТРУМЕНТ

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/martin-kadinda-gadabout-collection/ […]

  2. Home

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/martin-kadinda-gadabout-collection/ […]

  3. Buy DMT Powder Online New South Wales

    … [Trackback]

    […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/martin-kadinda-gadabout-collection/ […]

Comments are closed.