Martin Kadinda katika mwezi huu mtukufu ame badilisha jina na kujiita Mursah na ana tendea haki jina hilo. Maana ana onekana katika mavazi mbali mbali kama kanzu na anaivaa inavyo takiwa. Toka tuanze kumuona katika mavazi haya hakuna siku ime pita tukasema hapa kaharibu

martin akiwa ame accessorize kanzu yake na blazers

13385867_596723783822142_1741471556_n 13534542_1781540025413235_1890200949_n 13534627_1748078025440104_892981922_n

Martin in white outfit ambayo ina kitenge

13561842_653092798177942_1873063169_n

Martin akiwa kavalia kanzu na kufunga turban style

13402629_939459816176712_1465437259_n

Comments

comments