SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Masharti 10 Ya Kuvaa Safari Suit Kutoka Kwa Haji Manara
Mitindo

Masharti 10 Ya Kuvaa Safari Suit Kutoka Kwa Haji Manara 

Haji S Manara a.k.a Al Bughatti jana ametoa masharti 10 ya kuvaa Safari Suit, kupitia ukurasa wake wa Instagram Haji alipost picha akiwa amevalia burnt orange suit kutoka kwa mbunifu Jm Collection

huku akiipeleka picha yake hio na caption iliyosema “

Masharti ya kuvaa Safari Suit

1- Make Sure hucheki cheki hovyo kama Zuzu

2- jitahidi walau Boxer iwe mpya

3- Mifuko ya Koti au ya Suruali ,make sure haijawekwa Maandazi,kashata au chakula chochote.

4-Hata ukiibiwa Simu na kibaka usiffoke, Sema mara moja tu bila kelele, Mwizi huyooo, kisha muache aende nayo.

5-Usipande Boda Boda na ukipanda Bajaji, tumbukia fasta ndani Raia wasikuone.

6-Mwendo kasi,Daladala au kutembea kwa miguu ni kosa kubwa kuliko kubaka.

7- Wallet yako isipungue laki tano mfukoni.

8-Ikitokea Unawashwa sehemu katika mwili wako usijikune, Vumila, Coz Suti za aina hii zinahitaji utulivu.

9-Usile chakula chochote cha Jamii ya Nafaka unapotinga Suti kama hii mwilinii ,Maharage na Wapwa zake kina kunde na Njugumawe ni Haraam.

10- fanya practice ya kuwa Tajiri nenda Five Star hotel chukua Chumba hata kama pesa huna, Asubuhi waambie hela sina, nakuhakikishia watakuachia uondoke Kwa heshma ya Suti yako.

DressĀ @jm_international_collection

well sharti lipi limekufurahisha zaidi?

Related posts