SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MATERNITY PHOTO SHOOT YA RAY NA CHUCHU VS DIAMOND NA ZARI
I'm A Celebrity

MATERNITY PHOTO SHOOT YA RAY NA CHUCHU VS DIAMOND NA ZARI 

Imekuwa kama Fashion siku hizi kufanya maternity photo shoot, sio kwa watu maarufu au sie tusio julikana. Si kitu kibaya though ni kitu kizuri kuwa na kumbukumbu nzuri za kunyesha wajukuu zetu baadae. Week hii zime onekana couples hizi za watu maarufu wakiwa wame fanya maternity photo shoot na kiukweli zime tufanya tufikirie what to consider ukiwa una fanya photo shoot hii.

Zari looks good kwenye outfit yake ya mama Africa, kiremba, Neck piece,make up on point yaani she looks flawless, Diamond pia until unotice hio hair style yake. Seriously ime tusumbua kukubaliana na kwamba ame fanya photo shoot ya gazeti na hivyo vinywele well ina wezekana hakutaka kunyoa lakini wame vaa ki-Africa ange vaa balaghashia au hata turban well its his choice though.

Ray nae amependeza mno katika photo shoot yao, lakini chuchu mhhh, Mamy utawaonyesha wajukuu zako kweli? maana miaka inavyo zidi kwenda fashion ina zidi kukua sasa hii gauni na hizo boots hatujajua nini uliwaza ila ITS A BIG NO KWETU yes NO in CAPITAL LETTERS

How about Ray na Diamond Waki trade place katika hizi photo shoot? do you get the picture?

tupe maoni yako kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Related posts

3 Comments

  1. golden teacher mushroom substrate,

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/maternity-photo-shoot-ya-rar-na-chuchu-vs-diamond-na-zari/ […]

  2. Buy DMT Near Me Perth

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/maternity-photo-shoot-ya-rar-na-chuchu-vs-diamond-na-zari/ […]

  3. gox scooter

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/maternity-photo-shoot-ya-rar-na-chuchu-vs-diamond-na-zari/ […]

Leave a Reply