SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Maua Sama 2020 Fashion Moments We Fell In Love With
Mitindo

Maua Sama 2020 Fashion Moments We Fell In Love With 

We live for every look that Maua Sama served us in 2020, Maua anajulikana kwa kuwa simple kwenye mitindo yake sisi huwa tunamuia a shy slayer, yaani she is serving looks lakini hapigi kelele nyingi.

But in 2020 tumeanza kuona anatoka nje ya mipaka yake na tunapenda tunacho kiona, na sio tu ana tu-bless na fashionable looks, Maua anachukua muda wake pia kutunyoosha na beauty looks, she is just having that Beyonce “Am Feeling Myself Moment” & Girlllll we are here for it.

Tuone baadhi ya mionekano ambayo ilituvuta kwake mwaka huu,

How Sexy Is Maua In These 3 looks? she served us legs, cleavage, served us face, she snapped.

Mioneonano mingine ambayo tumeipenda kutoka kwake ni hii, ambapo sisi tunaiita daring looks. Unaweza kuona ametoka nje ya just fashion to style, the green jumpsuit na boots is everything and extra, namna ambavyo amestyle white skirt to a dress na ambavyo amevaa hii gold mini skirt suit is pepper.

Okay Maua we see you girl tumependa tunacho kiona na tungependa kuona zaidi ya hivi, well afromates tuambie muonekano upi kutoka kwa Maua ulioupenda sana mwaka huu.

Related posts