Mwanamuziki Maua Sama alifanya live show katika kipindi cha homaTVE, Maua alivaa mavazi manne ambapo matatu kutika hayo yalitoka kwa muigizaji Elizabeth Michael na kampuni yake ya mavazi ya EMcloset.
Tumefanya mahojiano na Maua Sama na ametuelezea namna ambavyo walifanya kazi na Lulu katika mavazi yake.
Afroswagga : Je mlifanya kazi 50/50 katika kutafuta mavazi au Lulu alikuchagulia kila kitu?
Maua: Yes inaweza kuwa 50/50 kwasababu Kufanya kazi na Lulu anakupa room ya wewe kutoa ideas zako. So kuna wakati nakuwa natamani nionekane kwenye suit naishia hapo, then yeye ndo atakuja na concept and style tunakuwa kwenye line moja.

Afroswagga: Kati Ya Yale Mavazi Lipi Lilikuwa Favorite Yako?
Maua: The Blue one 💜💜💜

Afroswagga: Je Umeona Lulu Ameweza Kupatia style Yako?
Maua: Yes, kulingana na nature ya function style karibu zote zilikuwa zinafit. Kwangu the style LULU ameniwezea kwenye style yangu.

Afroswagga: Ugumu gani umepitia kufanya kazi na Lulu?
Maua: Hakukuwa na Ugumu kufanya kazi na Lulu kwasababu nje ya kazi tuna uhusiano mzuri as a family, so ata wakati ananipa style nakuwa free kuComment and kuAdd kitu chochote. Yupo flexible.
Related posts
8 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/maua-sama-aelezea-ambavyo-alivalishwa-na-elizabeth-michael/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/maua-sama-aelezea-ambavyo-alivalishwa-na-elizabeth-michael/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/maua-sama-aelezea-ambavyo-alivalishwa-na-elizabeth-michael/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/maua-sama-aelezea-ambavyo-alivalishwa-na-elizabeth-michael/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 94033 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/maua-sama-aelezea-ambavyo-alivalishwa-na-elizabeth-michael/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/maua-sama-aelezea-ambavyo-alivalishwa-na-elizabeth-michael/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 72229 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/maua-sama-aelezea-ambavyo-alivalishwa-na-elizabeth-michael/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 78488 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/maua-sama-aelezea-ambavyo-alivalishwa-na-elizabeth-michael/ […]