Double denim imekua kwenye trend muda sasa na inaonekana triple denim is taking over, in fact triple denim is all over already. Tunapo ongelea double denim ni kuvaa denim mbili mfano: denim shirt na denim pants, triple denim ni kuvaa denim tatu mfano: denim shirt, denim trouser na denim coat, au denim shirt, denim skirt na denim shoes. ni kama ka uniform flani hivi.
Well tume m-spot mwanamuziki Maua Sama akiwa amevaa tripple denim styled by stylist Joujou Nyaki.
Huu ni muonekano tofauti kutoka kwake anaonekana sassy, young , tumezoea kumuona Maua in short skirt au dresses. Kutoka kwenye hizi picha na huu muonekano tulicho jifunza ukitaka kuvaa triple denim
I) Mix up the colors – kama ambavyo Maua amefanya kuna washed denim, kuna heavy denim ambayo ameivaa kwa ndani
2) Accessorize – Maua ameongezea choker, waist belt na big rounded earrings
3) Its Okay to wear distressed pants & denim ambayo ina urembo wa chuma as a cout
Jaoujo did her work right amemalizia muonekano wa Maua na over the knee gladiator sandals
tell us your ideal of triple denim
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you will find 23191 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/maua-sama-in-tripple-denim-trendy/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 57229 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/maua-sama-in-tripple-denim-trendy/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/maua-sama-in-tripple-denim-trendy/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/maua-sama-in-tripple-denim-trendy/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/maua-sama-in-tripple-denim-trendy/ […]