Kuwa na uwezo wa kuvaa mavazi na kuonekana maridadi kila siku ni ustadi ambao unaweza kuwa ngumu kuufahamu. Bahati nzuri kwako, tunakuletea vidokezo vya mitindo kila siku ambayo kila mwanamke anapaswa kujua. Leo tunakuletea hii kuhusu black little dress
Kama unataka kupata muonekano simple yet chic chagua kuvaa black little dress ( hakikisha ina ku-fit vyema na iwe inaendana na mahali uendapo),
Lakini pia black little dress inaweza kuvaliwa na mtu wa aina yoyote mwenye mwili aina yoyote, uwe mrefu au mfupi, mwembamba au mnene ni piece ambayo inavaliwa mara nyingi na sehemu tofauti tofauti,

Lakini pia faida ya black little dress ni kuwa kuwa styled na accessories za namna nyingi na rangi tofauti tofauti, lakini pia ni rahisi kuvalia na viatu na handbag ya rangi yoyote.

Mwisho ni kwamba black little dress never goes out of style.
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/maua-sama-slaying-in-sexy-little-black-dresses/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/maua-sama-slaying-in-sexy-little-black-dresses/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/maua-sama-slaying-in-sexy-little-black-dresses/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/maua-sama-slaying-in-sexy-little-black-dresses/ […]