SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MAVAZI 11 UNAYO WEZA KUVAA KATIKA MIALIKO YA IFTAR
Mitindo

MAVAZI 11 UNAYO WEZA KUVAA KATIKA MIALIKO YA IFTAR 

Kumi la Kwanza Limeisha Na La Pili Limeingia, katika Kumi La Pili Mara Nyingi Hapa Ndiyo Tunapo Pata Mialiko Ya Iftar Kwa Ndugu Jamaa Na Marafiki. Watu Wengi Wanashindwa Kufika Walipo Alikwa Kwa Sababu Tu Wamekosa Cha Vaa Katika Shughuli Hio.

Leo Tunawaleta Mavazi 11 Ambayo Unaweza Kuvaa Katika Sherehe za Iftar, Haya Mavazi Yame tengenezwa Au Kubuniwa Na Wabunifu Wetu Kutoka Hapa Hapa Tanzania Na Yalionekana Kwa Mara Ya kwanza Katika Stara Fashion Show.

Wengi Walidhani Stara Fashion Show Itakuwa Ya Mabaibui tu Kwa Sababu Ya Mwezi Mtukufu Wa Ramadhani Lakini La Hasha Stara Ni Vazi Lolote Ambalo Lina Stiri Maungo Ya Mwili Wako Na Kwa Kuthibitisha Hilo Wabunifu Wetu Walituonyesha Katika Stara Fashion Show. Wengi Waliona Magauni Wakajiuliza sasa kama Hili Nitavaa Wapi Labda Kwa Sababu Lina Urembo Sana Huwezi Kuvaa Kazini Au Katika Mishughuliko Ya Kawaida, JIbu Unaweza kulivaa katika Mialiko Ya Iftar

Kulikua Na Mengi Lakini Leo Tutakua Na Mavazi Ya Kuvaa Katika Mialiko Ya Iftar

12 H & A H&A4 1 H & A 6 H&A

MBUNIFU: Husna Tandika

JINA LA BIDHAA: H&A Dress To Impress

Husna Tandika Ni Mbunifu Kutoka Tanzania Yeye Alitumia Rangi Zinazo Ng’aa Zaidi Kama Nyuepe, Nyeusi Na Waridi Ni rangi Zenye Mvuto Na Nzuri Kwa Kuvaa Wakati Wa Jioni Hasa Kwa Sababu Iftar Ni Jioni. Nyenzo ni Hariri Na Pamba Hizi Zinafaa Hasa Wakati Huu Wa joto Kwa Sababu Zenyewe Ni Nyepesi Na Laini.

MY HIJAB (2) MY HIJAB (1) MY HIJAB

MBUNIFU: Faryz Tiny

JINA LA BIDHAA: my_hijjab_my-Stara

Faryz Pia Ni Mbunifu Wetu Kutoka Tanzania Anae Chipukia Kwa Kasi Kwa Kuangalia Picha Zake Hapo Juu Tunaweza Kuona Amebuni Kwa Ajili Ya Watu Wa Rika Zote Wasichana Waendao Na Wakati Na Wamama. Nae Pia Ametumia Hariri Na Pamba ni Kutoka Na Majira Ya Joto Tuliyo Nayo Katika Kipindi Hiki Hapa Nchini. Unaweza Kuvaa Mavazi Hayo Yenye Kupendeza KAtika Mialiko Ya Ifatr

asia

MBUNIFU: Asia Idarous

Asia Alijikita Sana Katika Nyenzo Za Kiafrika Kama Mackezie Na Vitenge, Na Ametumia Rangi Za Kuvutia Mno Inapendeza Kuona Majumuisho Ya Nyenzo Kutoka Kwetu Na Mbunifu Wetu kutoa Vitu Vinavyo Pendeza.

KUDRAT 2 (1)

MBUNIFU: Kudrat

JINA LA BIDHAA: KudratFashinable

kudrat Ametumia Rangi Tofauti Tofauti Lakini Cha tofauti Kutoka Kwake Alifikiria Pia Na Urembo Kama Ambavyo Tunaona Ame Ongezea Mkufu Katika Vazi Lake. Ni Vazi Zuri Ambalo Unaweza Ukaenda Nalo Katika Shughuli Yako Bila Wasi Wasi Wowote.

 

tz abaya

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

MBUNIFU:Tz_abbaya_fashion_designer

JINA LA BIDHAA: Tz_abbaya_fashion_designer

Tz_abbaya_fashion_designer  Amejaribu Kuweka Urembo Na Pia Katumia Nyenzo Zenye Maua, Hii Imeleta Mvuto Katika Mavazi Yake, Pia Unaweza Kuvaa Katika Mialiko Ya Iftar.

Stara Fashion Show Imeandaliwa na Asma Makau Pamoja Na Latifa Makau Ni jambo Zuri kuona Wanawake Wanasaidiana Kufikia Lengo Lao.

picha zime pigwa na mani24

 

 

Related posts

8 Comments

 1. one up mushroom bar Florida

  … [Trackback]

  […] Here you can find 18147 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mavazi-11-unayo-weza-kuvaa-katika-mialiko-ya-iftar/ […]

 2. mcx-spear

  … [Trackback]

  […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mavazi-11-unayo-weza-kuvaa-katika-mialiko-ya-iftar/ […]

 3. แทงบอล ufabet

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mavazi-11-unayo-weza-kuvaa-katika-mialiko-ya-iftar/ […]

 4. hop over to this website

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mavazi-11-unayo-weza-kuvaa-katika-mialiko-ya-iftar/ […]

 5. Best Psychedelic Store Melbourne

  … [Trackback]

  […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mavazi-11-unayo-weza-kuvaa-katika-mialiko-ya-iftar/ […]

 6. bbw black women

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/mavazi-11-unayo-weza-kuvaa-katika-mialiko-ya-iftar/ […]

 7. Click To See More

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mavazi-11-unayo-weza-kuvaa-katika-mialiko-ya-iftar/ […]

 8. nakeebet

  … [Trackback]

  […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/mavazi-11-unayo-weza-kuvaa-katika-mialiko-ya-iftar/ […]

Leave a Reply