Jumatatu nyingine ya mwanzo wa mwezi yes its April already kama jana tu tulisheherekea mwaka mpya, 2017 run’s fast, tukiachana na hayo ni mwanzo wa mwenzi na tunahitaji kuuanza mwezi kwa ku-slay wana sema jinsi unavyo uanza mwezi au siku ndivyo the rest of it utakavyo kuwa sasa kwanini tuuanze kwa kuto kupendeza? lets slay April lakini April imeanza na hali ya hewa ina act up mara mvua mara jua, hizi ni baadhi ya outfit ideas na tips za nini cha kuvaa na kufanya hali ya hewa ikiwa hivi
Blazer – koti ni vazi muhimu sana kuwa nalo uwe mfanyakazi au lah, katika kipindi kama hiki always carry your blazer kitu kizuri kuhusu blazer ni kwamba ina vuka kama baridi au mvua ikiisha una weza kuvua ukaliweka kwenye handbag au uka li beba mkononi kuonekana stylish zaidi na kingine ni kuvaa nguo nzuri ndani or else itabidi ulivae tu hata kipindi mvua na baridi itakapo isha
Cardigans – cardigans ni vazi lingine muhimu kwa stylish woman/men kuwa nalo katika kipindi hiki zina saidia sana cardigans kidogo sio nzito kama koti una weza kuzivaa hata kama jua lime anza kutokeza
Scarf It – scarf ni kitu kingine muhimu katika hali ya hewa hii kama una taka kuonekana stylish katika this weather vaa vizuri halafu tupia scarf yako vizuri kabisa
Stockings – kama kazi yako ina ruhusu kuvaa stockings then why not? kwa wale wanao penda kuvaa nguo fupi hili ni chaguo bora zaidi kwani zina kufanya uwe warm miguuni kukukinga na baridi na yet umevaa nguo yako fupi fresh kabisa
ni matumaini yetu tumekusaidi kujua nini una vaa kesho kwa mawasiliano zaidi tutafute
Instagram – afroswagga
Facebook- afroswaggamag
Twitter – afroswaggatz
Related posts
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…